Hujui hata humu ma Dr tupo kwa ushauriLabda hospital watakusaidia
Hope mko salama
Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wabaridii.
Kwa hyo ata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila ki ukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.
Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
Hujui hata humu ma Dr tupo kwa ushauri
Naam huyo mpenziwe azingatie kula vyakula vyenye vitamin ANimeangalia comments sijaona msaada wa maana zaidi ya dhihaka. Dr msaidie
Yaani wana boaNimeangalia comments sijaona msaada wa maana zaidi ya dhihaka. Dr msaidie
Ila Jf baadhi ya member acheni utoto
Yaani wana boa
mmh!Mpe vyakula vya kunenepesha; mpe supu ya sato mzima kila siku, mchanganyiko wa matunda, maziwa fresh kila siku, mchemsho wa kuku;
awe anavaa mavazi mazuri ya kutamanisha, atumie mafuta yanayong'arisha ngozi n.k...hapo lazima joto lipande, na ukiweka kichwa tu..tayari unakuwa kileleni
😳To be honest huyo ana yutiai sugu. Nenda kampime magojwa ya zinaaa.
Duuh!Mwambie awe ana kunywa chai yenye tengawizi kila siku huongeza joto kule kwa bibi. Thanks me later
Upo sahihi wanawake weusi wana joto kali sana na weupe sana wana baridiHizi kesi nishakutana nazo Mara kibao kipind Cha ujana wangu.
Hasa kwa wanawake wale wenye ngozi nyeupe Sana.
Hii KITU sijui huwa inasababishwa na Nini?[emoji848]
Wataalam njooni mtutoe tongotongo