babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
Aise mie si dogo kijana,anyway nisaidie mawasiliano yao.dogo muda si rafiki, wapigie tu kuokoa muda
Kwani kuna mtu ametumiwa code?
Wengi hawajapewa hiyo code but kesho naona wataitoa,kwa sababu mwisho wa kuconfirm ni kabla ya tarehe 6wakuu nilimuombea mdogo angu vyuo viwili na amefanikiwa kupata DIT na ATC lakini mpaka sasa sijapokea code kwa ajili ya kuthibitisha chuo kimoja wapo nafanyaje katika hili na nipo nje ya DSM nikimuagiza MTU TCU anaeza patiwa msaada katika hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera yako uombe mungu upate mkopo xaxa. tcu waongeze muda wao ndo wamechelewesha....Code tayar wakuu nimetumiwa muda wa saa mbili usiku huu
kwangu imekuja message tu bila codeCode tayar wakuu nimetumiwa muda wa saa mbili usiku huu
Mkuu hiyo sms umeipata mudaa gani?kwangu imekuja message tu bila code
kwenye comfirmation imekubali??Code tayar wakuu nimetumiwa muda wa saa mbili usiku huu
haijakubali mkuukwenye comfirmation imekubali??
Mimi private mkuuhongera yako uombe mungu upate mkopo xaxa. tcu waongeze muda wao ndo wamechelewesha....