Msaada: Moshi kwenda Dar es Salaam

Msaada: Moshi kwenda Dar es Salaam

bolivia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
3,141
Reaction score
5,293
Habari ya muda huu ndugu wa JF,

Nipo Moshi hapa Kibosho, Mungu akipenda hadi inapoingia usiku niwe Dar

Msaada kwa yoyote anayefika Dar nitamlinda chochote kitu niwe nimefika hapo Dar.
 
Habari ya muda huu ndugu wa JF,

Nipo Moshi hapa Kibosho, Mungu akipenda hadi inapoingia usiku niwe Dar

Msaada kwa yoyote anayefika Dar nitamlinda chochote kitu niwe nimefika hapo Dar.
Unataka usafiri wa msaada au?
 
Habari ya muda huu ndugu wa JF,

Nipo Moshi hapa Kibosho, Mungu akipenda hadi inapoingia usiku niwe Dar

Msaada kwa yoyote anayefika Dar nitamlinda chochote kitu niwe nimefika hapo Dar.
Utamlinda CHOCHOTE KILE? Mbona kama unajiuza kiaina?
 
Zile nyuzi za kuipondea moshi mtu kaona aondoke watu sio wazuri humu.
 
Sai Baba la Kampala ndio hitimisho la ombi lako....Muda bado upo

Kuna jamaa zangu (Moshi saa 4 asubuhi) waliaribikiwa na gari na ilibidi wafike Dar usiku kesho yake waendelee na safari Air port, Muungwana mmoja wa kichaga akawashauri wawasiliane na ofisi za Sai Baba bus la Kampala, Alfajiri walikuwa Dar na Mchana wakawahi (J.I.A) waendako.
 
Back
Top Bottom