Msaada: Moderm inajidisconnect

Msaada: Moderm inajidisconnect

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari wakuu naomba msaada kwa anayeweza elewa tatizo la moderm kujidisconnect yaani nikiweka
inafanya kutoa kamlio kanakoashilia inaconnect na kujidisconnect.

Hata kusoma kwenye window haionyeshi kama imesoma nimejaribu kubadili window ila bado shida nimechukua mordem nyingine na kuijaribu kwenye hii pc inafanya kazi vizuri model ya moderm ni Huawei E1550
 
Vp umejaribu ku uninstall then kuinstall ile (file) inayo kuwa created baada ya kuingiza modem kwa Mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom