mapunda b
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 418
- 19
natumia modem ya huawei e153 ya airtel mkoan mtwara uku na nikwa mda mrefu 3g network ilikua aipatkan sasa yapita siku tatu sasa imeanza patikana hasa kuanzia jion ila sasa nikiconnect siwezi chukua mda mrefu kama lisaa iv then inajidisconnect afu inashindwa kuconnect tena atakam nikiipeleka kweny 2g ambayo ni edge inagama na mtandao uko good tu. Natumia dashboard ya mobilepartner
ivi tatizo laweza kuwa ni nini
msaada wenu tafadhari......
THANKS IN ADVANCE
ivi tatizo laweza kuwa ni nini
msaada wenu tafadhari......
THANKS IN ADVANCE