Msaada modem ya voda

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Naomba msaada; modem ya voda inakataa kwa laptop yangu hadi nimelazimika kununua ya airtel, natumia windows 7, je hiyo inawea kuwa sababu? Nifanyeje wakuu?
 
Kutumia window 7 siyo tatizo, hata mimi natumia same window and am using both voda/airtel modems.

Labda ungeenda ofisi za voda they could be of assistance.
 
Kutumia window 7 siyo tatizo, hata mimi natumia same window and am using both voda/airtel modems.

Labda ungeenda ofisi za voda they could be of assistance.

Mkuu ofc ya voda ndiyo wameniambia kuwa ni kwa sababu natumia windows 7, nikaamua ku-appeal kwenu wataalam wa IT.
 
kwa hakika kama ingekua ni modem ya airtel ungepata ufafanuzi mara moja,unaonaje kesho ukaenda kununua modem ya airtel ambapo pia utapata na ofa ya 3gb bure kabisa na pia utaweza kuitumia modem hiyo kama flash disk...bei ni rahisi tu 60000
 
naomba ufafanuzi kwenye Bold RED hapo..bure vipi?
 
bure kwa maana ya kwamba utanunua modem pamoja na line yake kisha baada ya kuisajili line hiyo basi ofa hiyo itakua mikononi mwako...yaani utaweza kutumia hiyo 3gb bure kabisa..
 
Mkuu ofc ya voda ndiyo wameniambia kuwa ni kwa sababu natumia windows 7, nikaamua ku-appeal kwenu wataalam wa IT.

yaani hawaoni aibu kusema sababu windows 7 ndio maana haikubali?
this is insane!!..
 
sio kweli kuwa sababu ni window7,jaribu kuangalia kama hiyo line umeiweka vizuri kama ipo sawa basi nenda ofc nyingine ya vodacom coz hao uliowakuta hapo mwanzo hawajui kitu ni magumashi tu
 
Mkuu ofc ya voda ndiyo wameniambia kuwa ni kwa sababu natumia windows 7, nikaamua ku-appeal kwenu wataalam wa IT.

Mmmh,me najua modem mpya za voda hazifanyi kazi kwenye linux sio windows!
 
sio kweli kuwa sababu ni window7,jaribu kuangalia kama hiyo line umeiweka vizuri kama ipo sawa basi nenda ofc nyingine ya vodacom coz hao uliowakuta hapo mwanzo hawajui kitu ni magumashi tu

Watoa huduma wa vodacom pale mlimani city kwa mfano ni aibu tupu,sijui wanaajiliwa kwa vigezo vipi
 
kwa hakika kama ingekua ni modem ya airtel ungepata ufafanuzi mara moja,unaonaje kesho ukaenda kununua modem ya airtel ambapo pia utapata na ofa ya 3gb bure kabisa na pia utaweza kuitumia modem hiyo kama flash disk...bei ni rahisi tu 60000

Soma vizuri maelezo ya mtoa mada... Hapa hatuko kibiashara tupo kuelimishana na kusaidiana.
 
kwa hakika kama ingekua ni modem ya airtel ungepata ufafanuzi mara moja,unaonaje kesho ukaenda kununua modem ya airtel ambapo pia utapata na ofa ya 3gb bure kabisa na pia utaweza kuitumia modem hiyo kama flash disk...bei ni rahisi tu 60000

Mkuu hukunisoma uzuri kwenye maelezo yangu, ninayo tayari modem ya airtel but, gharama zake ziko juu; bundle ya wiki ni Tshs 15,000/= nami nalazimika kutumia net mwezi mzima kikazi, so inanicost Tshs 60,000/= monthly, ni hatari! ndo maana nataka kuikacha kwa kutumia ya voda. Na hiyo ya ofa ni uongo kwani nilponunua sikupewa hiyo ofa niliweka elf 15 palepale na kujiunga na dataweek, labda hiyo ofa iwe imeanza jana.
 
Kiukweli moderm za vodacom zinasumbua sanaaa!! Mie nahangaika nayo mpaka basi, ila angalia kitu kimoja, kama umeinstall program ya Nero7 huwa modem ya voda humo inakataaa kabisaaa. Mwenzio niliformat computer yangu mara kadhaa bila kujua tatizo nini.

Niligundua hivi; niliformat computer yangu last week na program ya kwanza kuingiza ikawa ni vodamordem niliitumia vizuri sana, nikawa naingiza kwenye PC program moja baada ya nyingine na voda ikaendelea kufanya kazi!! Nilipoingiza Nero tu voda ikagoma, nilipofuta ikaedndelea kufanya kazi!!

Nikajaribu kwenye desktop nako ni hivyo hivyo, so jaribu kuchunguza hilo nalo ndugu.
 
Mdau pole sana kwa shida uliyopata. Problem ya hizo modem za ZTE (kwa nje zimeandikwa VODAFONE) ni kwny WIN7. Sababu ni inbuilt sofware yake siyo compatible kwa baadhi ya version ya window 7 eg starter, ultimate etc. Solution tumia software yake mpya ya version 8. Ukishaitumia hiyo utaendelea kuitumia bila shida yoyote
 
Sawa kabisa Petiro.Inabidi hiyo Modem aiupgrade Firmware yake to new version then itakubali.
 
Asanteni sana Petiro,Chipukizi Uncle Rukus na wengine wote kwa msaada wenu, M/mungu atawalipa Inshaallah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom