Msaada modem ya tigo inasumbua


P thank u have made my day. God bless u technologicaly

Maskini girafe pole tumeteka uzi wako.
 
Mkuu hebu dadafua kidogo hapo kwenye rangi ya zambarau, ni bundle gani hiyo ya unlimited kwa bei chee, watu tuna masoftware ya kumwaga tunashindwa kupakuwa sababu ya vi mb uchwara
 
hasante sana kuna jamaa kanileatea modem peke yake bila kasha
 

Preta y are u so sweet is ur reply? Mh mmeo anafaidi? Its always amazing Huwa naacha kufuatilia mada nafuatilia unavyou respond hongera mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…