wakuu nimejaribu kurequest settngz kwny cm yang lakn naona hawanitumíi so nataka niingize manually kwaio naomba msaada wa vi2 kama apn,subnet mask na vyote ambavyo vitanisaidia kubrowse. Shukran wakuu
niliwahi kufanya hii kitambo sana lkn pale kwa apn unaweka 'internet' hapo unakuwa tayari ingawa nadhani ktk kila simcard lzm service provider wako aruhusu /enabled/ hiyo huduma
yestday mie nimefanya manual, na ki2 inamata hapo ni kuwa na server ip adr yao mbayo ni 10.246.17.81 alaf port numb ni 8080. Phone ip weka iwe automatic.
yestday mie nimefanya manual, na ki2 inamata hapo ni kuwa na server ip adr yao mbayo ni 10.246.17.81 alaf port numb ni 8080. Phone ip weka iwe automatic.
Manual settings haitakubali.....ni bora upige simu Customer Care ili wai-activate internet kwa ajili ya line yako....halafu ndio uweke manual settings yeyote hata ya vodacom itafanya kazi....kama kwangu....