Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

....mbona anaoga mara nyingi sana..? kwa siku mara moja..??wengine wanapiga passport tu,uzoefu wa boarding school...teh teh teh...
 
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!

Umetoa ushauri wa busara kama ilivyo avatar yako.
 
Huyu atakuwa kasoma Bording huyu hayo ndo yalikuwa mambo yetu sasa daaah maisha haya jamani....
 
Mara nyingine mazingira ya kuoga yanaleta uvivu.

Mfano bafu liko nje ya nyumba na supply ya maji ni nje ya bafu kwamba ukitaka kuoga lazima ubebe maji kwenye chombo uende nayo bafuni...hii inaleta uvivu..tofauti na ukiwa na bafu ndani ya chumba chako cha kulala kiasi kwamba unafungua koki ya shower maji yanashuka unaoga.

Mwenyewe nikiwa mazingira ya kubeba maji kwenye ndoo kwenda nayo bafuni..nje ya nyumba napata shida sana kuoga.

Mshauri kubadilisha mazingira ya bafu.
 

Tunaomba mrejesho. Baada ya hiyo miaka yote anaoga mara ngapi kwa siku?
 

polee sana. sio ugonjwa ame be affctd na mazingira kama alisoma shule za bweni. usiogope ata badilika tu kuwa mvumilivu. endelea na jitihada hizo hizo.
 
Ni PM nikupe dawa, ni ya mwanamume MCHAFU NA MLEVI kupindukia.
 
Kama umeolewa na jeshi usilalamike ni kawaida, katika mafunzo ya jeshi unatakiwa ukoge ukitekwa tu, adhawaizi ukikoga bila ridhaa ya amiri jeshi unapunguziwa mshahara.

Jaman hii n vunja mbavu
 
mtu kama huyo inabidi weekend muende c@c@ beach ukamsugue hahaha
 
Mh!kujiendekeza tu,jitu zima kuoga mpaka lipigiwe kelele?ingekua mm ningemuacha bila kumkumbusha nione atakaa cku ngapi na mwisho wa cku nahamia chumba cha watoto,ya nn kunukishiana vikwapa kwa makusudi,kuleteana mafua khaaa!
 
Hahahaha aiseee hii ndio inatwa kantangaze. Daaa jamaa hataki kusugua gaga.
 
Mh!kujiendekeza tu,jitu zima kuoga mpaka lipigiwe kelele?ingekua mm ningemuacha bila kumkumbusha nione atakaa cku ngapi na mwisho wa cku nahamia chumba cha watoto,ya nn kunukishiana vikwapa kwa makusudi,kuleteana mafua khaaa!
Hahahahaha
 
Dah! hii toka 2008, jee bado haogi? au kisha pigwa buti?
Faith, njoo tujibu.
 
Last edited by a moderator:


Pamoja na kwamba hilo halikubaliki popote bado I hope hampo Dar es Salaam! Labda awe Arusha, Iringa , Mbeya lakini bado sio justification hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…