Hii ni tabia ya mtu kuto taka kuoga wengi tu mbona tunawaona bora huyo anaoga kwa siku mara moja wengine ni kwa miezi anaoga mara moja napo kwa bahati mbaya.
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!
Unasaidia tatizo ama unaliongezea?