Nenda finca utapata mkopoWadau naomba wajuzi wanisaidie nina nyumba yangu-unfinished nimeshaezeka na kuweka magril ila nimekwama kibiashara.....nahitaji mkopo ila sina hati nina barua documents za mauzo kutoka serikali za mtaa naomba ushauri!
Una leseni ya biashara au unaeneo la biashara ambalolipo fixed??? Kama ni ivo basi unaweza ukatumia hizo kupata mkopo..
Una leseni ya biashara au unaeneo la biashara ambalolipo fixed??? Kama ni ivo basi unaweza ukatumia hizo kupata mkopo..
Ok Ahsante...nakusubiri!Yan kama una lesen ya biashara na unalo eneo la biashara ambalo lipo fixed yan kama frame ya duka,garage n.k unaweza ukajaribu pale makumbusho kuna ofisi inaitwa tujijenge na huku ubungo external ipo mtaji credit facility.. Pia naamin kutumia hizo unaweza ukapata kwa mabenki.. Ila jion mida ya saa 1 nitakupm ofisi ya uhakika ngoja kuna wadau nichonge nao
Mkuu sio nakukatisha tamaa lakini huu ni muda mzuri wa kukopa...? Naona kama namba haisomeki moja haikai wala mbili haisimami ukiingia mkopo muda huu hutaongeza kichwa kuuma...? Wazo tu mkuu...Wadau,
Naomba wajuzi wanisaidie nina nyumba yangu-unfinished nimeshaezeka na kuweka magrili ila nimekwama kibiashara.Nahitaji mkopo ila sina hati nina barua documents za mauzo kutoka serikali za mtaa naomba ushauri.
Mhhh! Sijakuelewa....why kichwa kiume tena,fafanua bacMkuu sio nakukatisha tamaa lakini huu ni muda mzuri wa kukopa...? Naona kama namba haisomeki moja haikai wala mbili haisimami ukiingia mkopo muda huu hutaongeza kichwa kuuma...? Wazo tu mkuu...