El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Nenda kwa gynaecologistHabari za asubuh samahan,naomba niulize ktu,mke wng anamzunguko wa siku 35,na pia kwenye uo mzunguko anapata kuona ute ule unaomaanisha kuwa yupo tyr kupata ujauzito lkn hapati ujauzito
asante kwa ushauri na pia nimesharekebisha tyrRekebisha, andika tumeshindwa kutunga mimba mimi na mke wangu, kwa kumtaja mke pekee ina maana una uhakika yeye ndie mwenye shida, what if ni wewe ndio una shida.
Nendeni mkafanye vipimo.
Asante sana kwa ushauri
asante kwa ushauriNenda kwa gynaecologist
Tatizo la mke kutopata ujauzito laweza kuwa chanzo ni mke au mme. Muhimu ni kupimwa wote mpate ufumbuzi. Vinginevyo utaletewa watoto wa sura tofauti tofauti.Habari za asubuhi,
Samahani naomba niulize kitu, Mimi na mke wangu tumeshindwa kupata mtoto mpaka sasa mke wangu anamzunguko wa siku 35, na pia kwenye huo mzunguko anapata kuona ute ule unaomaanisha kuwa yupo tayai kupata ujauzito lakini hapati ujauzito.
kapime blood group na sperm coutHabari za asubuhi,