Sasa afisa ustawi si anakuwa na degree au labda msaidizi wa afisa ustawi
Kwanini hutaki mwenye shahada?
Na sisi wanye degree hatutoolewa haya ngoja waje
Muoga huyoo....
hapo unatafuta mke msomi! na siyo mke mwema.
nyie wasumbufu na mmejaa zarau sana
wasumbufu sana na wanajifanya wajuwaji sana na hawajui kumtii mumeKwanini hutaki mwenye shahada?
Hahahahaha kila la heri
huo ndiyo ukweli sasa wenye degree sitaki
hata humu watakuwepo"Mke mwema anatoka kwa bwana na siyo JF
Kwanini mkuu? ?
wasumbufu sana na wanajifanya wajuwaji sana na hawajui kumtii mume
Bora ukatafuta mke kanisani kuliko jf