habari zenu wana jamvi..
leo katika kuwasha computer nikafungua program Huawei Modem unlocker nikakutana na hiyo error ya microsoft.NET framework
then inaandika Click Quit to close immediately,
nifanyeje ili program ifanye kazi kama kawaida?
natoa shukran kwa ushauri ntaopata hapa..