msaada;MI A300 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada;MI A300

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by QUALIFIED, Sep 9, 2012.

 1. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  wakuu
  nina simu aina ya mi a300,umts 850/1900/2100mhz,hsdpa max speed 7.2mbps, os android v2.2, 2mp and display tft capacitive touch screen 256k colours...matatizo ni nikitoka kwenye 3g network haishiki pia some of application kama whatsapp,nimbuzz etc hazikubali kudownload inaandika device not compatible msaada kwa ujanja wowote unaoweza kusaidia
  shukurani wakuu
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,818
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  je simu yako ina 3g tupu bila edge na gprs?

  Pia jaribu ku upgrade simu yako kwenye best available software maana froyo ni ya mda kidogo maybe ukipata software version mpya itakua compatible na hizo application
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  ina gsm,gprs,edge lakini nkiziset bado haifanyi kazi ila simu inakua inapatikana na text zinaingia ila siwezi kujibu wala kupokea sim nkipokea inavibrate then inastack pia sijui jinsi ya kuupgrade os msaada hapo please
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,818
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
 5. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  1) kuhusu suala la network you have to make hard choice of restoring to factory settings
  2) OS update kuna njia mbili kama zifuatazo
  a) Official update ambapo utafanya OTA na ku update easy, just go to
  settings>>About phone >> check update
  kama official update is available, if not ……
  b) by roming, njia hii ni ngumu kidogo, inahusisha rooting & changing recovery mode kwanza. njia hii ambapo stock ROM na kuweka ROM ambayo Android version yake iko juu mfano una weza weka CynogenMOD 7 based on android 2.3.5 gingerbread, kama kuna umuhimu mkubwa wa ku badilisha ROM nambie nikupe mtiririko.
   
 7. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  NingaR os ntaishughurikia ntawapa feedback wakuu ila network nsharestore factory mpaka bhasi lakini no change occur
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...