Msaada: Mfumo wa umeme jua

cebran

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
282
Reaction score
705
Hivi katika mfumo wa umeme wa jua, kinachochaji betri kutoka kwenye panel na VOLTAGE au WATTS
 
hivi katika mfumo wa umeme wa jua, kinachochaji betri kutoka kwenye panel na VOLTAGE au WATTS


WATT ni zao la VOLTAGE na CURRENT (yaani VA) , ukichukua Voltage X Current=Watts

Hivyo WATTs ni uwezo wa Chanzo cha umeme (Kama vile solar pannel) kuSupply.

Kinachochaji battery ni VOLTAGE na CURRENT ,

Voltage zinasukumwa na charger kwenda kwenye battery, lakini current haisukumwi, bali battery inajichukulia kiasi chake kinachotosha chenyewe.
 
watts is what U get from current TIMES voltages and what actually happens in that....voltage drives current along the wire to charge your battery up...CURRENT CHARGES UP THE BATTERY...voltage drives current along the wire..same way water pressure hauls the water current along the pipe(wire)...no voltage no current driven hence...no charging
 
nimeuliza kwasababu nina panel mbili sasa fundi aliniambia nikiziunga in series volt itakayopatikana itakua ni sawa na kujumlisha volt za panel mbili na kama nitaunganisha paralel watts zitakua ni jumla ya watt za panel zote na volt itabakia kuwa constant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…