Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,536
Reaction score
2,230
Wakuu habari zenu.

Ninatarajia kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii kwa hapa Zanzibar (ZSSF). Jee hii mifuko inamsaidia vipi mchangiaji na nini sheria zake kwa waajiriwa na waajiri?

Natanguliza shukurani!
 
Nenda kwenye ofisi zao kitengo cha huduma kwa wateja uwe na maswali yako uwaulize or pitia website yao.
 
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani
 
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani

Dorkan, Mfuko wenye kanuni au formula yenye mafao mazuri hadi sasa ni LAPF, ikifuatiwa na PSPF halafu NSSF. PPF wao wana huduma bora kuliko wote.

Hongera kwa kuona umuhimu wa kuchangia kwa ajili ya akiba ya sasa na uzeeni.

Queen Esther
 
asante mpendwa wangu,na je kama ukichangia kwa mwaka mmoja then kibarua kikaisha,wanakuwa na utaratibu gani?
 
asante mpendwa wangu,na je kama ukichangia kwa mwaka mmoja then kibarua kikaisha,wanakuwa na utaratibu gani?

Unatakiwa ukipata kibarua kingine uendeleze uanachama ili utakapostaafu upate pension.

Queen Esther
 
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani
Mwana jiunge na mfuko wa umoja, ule ndio poa sana kwa sababu pesa yako iko karibu na moyo wako na masikio yako.Take it from me. usije kujuta kama wengine kadhaa.
 
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani

Jiunge na pspf ndio mfuko bora. .hao wengine wanakudanganya formula na kiasi unachopata ni kiduchu..waulize wastaafu wao wanavyolia
 
Shida ya JF ni kwamba kuna watu wanaleta utani mahali ambapo panataka usiliasi!!!
 
tembelea website ya kila mfuko utakuta maelezo muafaka kisha linganisha na kulinganua mifuko yote utapata jibu sahihi, hapa JF naona kila muamba ngoma anavutia kwake... na unajua miruzi mingi humchanganya mbwa
 
ZIWEKE WAZI HIZO KANUNI ZA MAFAO KWA KILA MFUKO,mimi nashangaa hii mifuko kazi ya kujenga mghorofa marefu ambayo kwa mfanyakazi wa kawaida hawezi hata kupata ofice for rent,kwa nn wasijenge nyumba yhen wakawauzia wastaafu ama wanachama wao na ndio maana wastaafu wengi wanakufa baada ya kustaafu,mifuko haijawekeza kaw wastaafu bali kuwanyonya kwa miaka mingi na kuwaacha yatima uzeeni,mf pensheni ya elfu hamsini ama laki iatmtosha nn mzee wa watu aliyestaafu pale Ngara???wakati huo amechangia mfuko husika miaka 30 ama zaidi??huu ni unyonyaji wa hali ya juu!!!!!
 
Basi hawa wengine lapf na nssf waliwazidi ujanja mapema
 
PSPF wengine wote matapeli tu sjui hata SSRA wanafanya nini

Sikushauri ujiunge na mfuko huu, una matatizo mengi sana na zaidi umekaa kisiasa zaidi. Utendaji kazi wao si mzuri sana ukilinganisha na ule wa LAPF.
 
Jiunge na pspf ndio mfuko bora. .hao wengine wanakudanganya formula na kiasi unachopata ni kiduchu..waulize wastaafu wao wanavyolia

Acha kumpoteza mwenzio. Ongea kwa hoja na sio unaropoka tu. Do not mess with someone's life.
 
Achana na mifuko hiyo. We chukua package yote fanyia biashara tu. Kwanza unajuaje kama utasitaafu hujafa??? Maisha yenyewe mafupi hivi. Kama huwezi kufanya biashara anzisha mfuko wako wa kibubu. Hao wengine wanaokushauri hayo mamifuko, sijui magunia wanakupotosha tu.
 
Back
Top Bottom