Kuna binti ameondoka hapa jana alikuwa anafanya kazi kwa jirani yetu ila shida iliyomuondoa ni huyu mama anaroho mbaya sana, dada anajituma ile mbaya,pia ni msafi hatareee, ila huyu mama na roho yake mbaya kila siku anamfokea sana, so mkeo sio mkali? Me ni mwanamke ila naumia sana watu hasa wanawake wenzangu wanavyowachukulia wasichana wa kazi jamani, nao ni binadamu ati.