Msaada: Meter ina units 40 lakini umeme hauwaki

Msaada: Meter ina units 40 lakini umeme hauwaki

Huu uzi wa zamani ila man leo umeokoa jahazi. Asante sana JF Asante alieuliza Asante uliejibu.

Wakuu hii ni solution imenisaidia.
Mkuu Hongera ...Huwa natoaga nondo sana humu ndani ukinifuatilia huezi feli chochote..tupendaneni
 
Back
Top Bottom