Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna muandaaji wa vitu hivyo atujuze tafadhali.

Umeulizwa uko wapi usaidiwe? Lakini uko kimya, hilo swali ni muhimu kwani ukiwa say Musoma na anayetaka kukusaidiayuko DAR basi kutakuwa na haja ya mawasiliano tofauti na yule wa DAR kwa DAR! Mimi pia naweza kukusaidia, tuwasiliane tu humu ndani.