Msaada: Mechatronics Engineering inahusu nini?

Msaada: Mechatronics Engineering inahusu nini?

Galatone

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
11
Reaction score
0
Samahani wakuu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimechaguliwa kujiunga na diploma pale MIST kozi ya Mechatronics Engineering.

Sasa naomba nifahamu kuhusu hii kozi inahusika na nini? Vilevile watu wanaosoma hii kozi wanafanya kazi sehemu zipi?

Natanguliza shukrani
 
Nenda kasome dogo hiyo ni course mpya sababu baadhi ya vyuo hawana inaitwa mechatronics eng inadil na both mechanical and electronics engineers kuna dogo langu lipo mbeya huu mwaka wa pili linapiga hiyo kozi uwe serious 2 yan ni professional nzuri 2 utadil na ufund wa mitambo na umeme kwa wakat mmoja.over
 
Nimekupata mkuu shukran sana ila vip kuhusu degree yake inapatikana?
 
Nenda kasome kijana hiyo kozi inasoki kwa sasa.
Unaenda kujifunza mechanical na electronic/instrumentation
 
Hata Mimi nilileta hilo swali ila hapo must wanatoa diploma tu.na sijaona kama kuna chuo kinachotoa degree ya hiyo kozi kama kuna anayefahamu atujuze pia inaweza itwa electromechanical engineering
 
Back
Top Bottom