Hapo sawa na tatizo sterling rack yake zina bushi sasa hizi bushi ndio zinalika zinaisha zikiisha ndio kimbembe maana kununua nyingine ni gharamaPasso kwenye utumiaji mdogo wa mafuta ziko vizuri bt zina tatizo la stearing rack ikiisha inagonga sana na hazina guarantee hata ukibadili. Stearing Rack pale ilala zinauzwa kati ya 250,000/= mpaka 300,000/= hapo ndo balaa ilipo.