Msaada MD

Jerusalem 7

New Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Nina GPA ya 3.0 chem b+,bios b,physics c,GS na bam cNimeomba nafasi muhas, kcmc, bugando na udom MD Mara ya kwanza sijachaguliwa lakini cha ajabu nimeangalia remaining capacity ya vyuo lvo Kwa MD bado IPO isipokua muhimbili. Sasa nimeshindwa kuelewa nimekosea wapi. Msaada tafadhali
 
Inawezekana wameombwa na tcu kuongeza nafasi.
 
Rudia tena kuomba katika hivyo vyuo vyenye nafasi pia jaribu St. Francis ya Ifakara the same course MD
 
Kama una no za TCU wapigie ndg yangu watakwambia cha kufanya.Kama uko karibu,nenda ofisini kwao msasani ukawaone.
 
Hizo nafasi nafasi zimeongezwa

Wahi mapema kajaze,tena usipende makuu anza na ile SAUT ya Songea inaitwa Archbishop James sijui kuna md pale na utakuwa tu daktari inshaaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…