kadada wa pili
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 201
- 108
Asante matumizi yake kama hautajali inatumiwaje?Nunua dawa inaitwa termite killer
Yaan nahisi uko ndo itakuwa ishu maana wanajenga hataripanda na darini uangalie na uko
tibu kuanzia juu kushuka chini
Asante matumizi yake kama hautajali inatumiwaje?
Asante sana kaka hii ni njia nzuri Sana nayo. japo sijawahi isikia nashukuru nadhan ntajarib zote mpk nipate suluhishoMchwa awaishi mpka umuue malikia wao, so kwa vile uwez kujua malkia alipo fanya hivi….tafuta yale maranda ya mbao yale malaini sana then changanya dawa (utasoma kwenye kopo) alafu mwagia dawa kwenye maranda na kwenye maeneo yote unayoonaga mchwa (ukiweza nyumba nzima) kisha tandaza yale maranda yenye dawa maeneo yote mpka kwenye dari hapo utafankiwa coz wale mchwa watakula maranda yenye sumu na mengne watampelekea malkia ambae nae atakufa eventually coz mchwa wanapenda sana maranda. Ukiweza rudia zoez hili mara mbili au tatu NB: takes all the precautions wakat unafnya hili zoezi
Hahahahahah ulijenga kwenye territory yao, utakoma ubishi. Usiwaue kabisa, ongea nao tu wakupishe wataondoka.Habari za jioni wanaforum.
Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa anisaidie.
Asanteni
Asante sana kaka hii ni njia nzuri Sana nayo. japo sijawahi isikia nashukuru nadhan ntajarib zote mpk nipate suluhisho
Wapi huko?Mimi nipo Singida wapi yanapatikana pia natamani kujaribu kila njiaMchwa wanatia hasira sana hata mimi wananisumbua,apa nipo kwenye kutafuta mashudu ya tumbaku huku watu wengi wanaweka hayo kufukuza mchwa
Mbinu nayo ila sijajua unaongea nao vipi?Hahahahahah ulijenga kwenye territory yao, utakoma ubishi. Usiwaue kabisa, ongea nao tu wakupishe wataondoka.
Kama unavyoongea na binaadam wenzako tu.Mbinu nayo ila sijajua unaongea nao vipi?
Au anaweza kufanya fumigation kabisa kuita mtaalam japo hua nasikia wanarudi baada ya miaka 4 au 3 ila sio mbaya angalau watapungua taratibuNunua Vitashield ina Chlorpyrifos soma vipimo kwenye kopo pulizia kwenye eneo lenye mchwa watapotea.
Rudia tena baada ya siku 4 au 7.
Usipulize Duduba ina harufu sana ndani hakutakalika. Hiyo vitashield harufu yake si kali sana na inapotea muda mfupi.
Hapana huko hayapatikani ,tafuta dawa tu uweke au fanya fumigation kabisaWapi huko?Mimi nipo Singida wapi yanapatikana pia natamani kujaribu kila njia
[emoji848][emoji848][emoji848] sawaKama unavyoonge a binaadam wezako tu.
Uwaambie ukweli tu, watakuelewa.