Msaada;mchumba wangu anaumwa nini?

Msaada;mchumba wangu anaumwa nini?

Sitaki kumrudia. Jamii nayo haitaniangalia vema pia kwa sasa sipo tayar kuoa na yeye anataka ndoa. Nimemaliza chuo mwaka jana July, Mungu ni mwema nimepata kazi mwez September nahtaj kuwa single for somtym
Angalia moyo wako unasema nini na sio jamii kwa kuwa huolei jamii bali wewe mwenyewe!
 
Hapo kwamba alibakwa ndio amekudanganya. Hajabakwa huyo alitoa game kwa hiari.

Jambo lingine huyo mwanamke sio mkweli,hiyo kwangu ni point muhimu ya kumdiskolifai na kila kitu. Kama alitaka akusingizie mimba wakati anajua sio yako kwa maksudi bado unamuamini?

Hiyo ya kulia lia ni defence mechanism ya kutafta sympathy kwako ili umkubalie shida yake vinginevyo hana jipya,ni tapeli sema keshagundua wewe ni zombi akikwambia lolote unakubali.

Ok,nakushauri mdogo wangu achana na huyo binti,sio mtu mzuri kabisa.

Lingine mdogo wangu jitahidi uwe unaandika kwa aya,haiwezekani useme una elimu ya chuo kikuu uandishi wako uwe hivi.

Mkuu nadhani umemaliza kila kitu, labda niongeze nyama kidogo. Uyo dada anaonekana aliliwa mzgo kwa iyali yake akuna cha kubakwa wala nn sasa ayo mambo mengine inawezekana kakudanganya labda kutokana alikuwa anakupenda sana, lkn sio mbya madam umepata kazi msaidie japo ata kwa kumpa mtaji afanye biashara ili aweze kuendesha maisha yake.
 
Kwanza huoni aibu kwa familia yako kwa yote yaliyotokea???????????
Unadhani mama yako atamfurahia mwali wa aina hiyo???????????????
Kitendo cha kuhama mtaa peke yake kimeondoa sifa ya mke, ni tapeli.
hakika nakueleza wamama hupenda kuona watoto wao wanaoa mwanamke mkweli.
Mimi sikushauri kabisaa. kumsaidia ni hiyari sio lazima. ukijisikia msaidia
 
Inaonekana umeshachukua maamuzi ila umekuja hapa ili kuthibitisha kama ni sahihi. Do what you feel is best for you and the people you care about. Implement the decision, and be ready for any consequences that come with it. That way you would have no regrets.
 
Inaonekana ulimpenda kweli huyo msichana. Kwa sababu hata stori yako inaonesha umejaribu kumpa sana nafasi lakini ndo kama hivyo tena. Kwenye haya mambo bwana, haswa kama ni mtu una mipango nae long term, inabidi moyo na akili viwiane. Sasa ninavyohisi mimi ni kuwa moyo wako unatamani kwasababu tu ya historia yenu na ubinadamu lakini akili yako inakuambia vingine. Huruma zako zisiwe sababu ya kubeba mzigo usio wako na usiouweza. Kama mdau alivyosema hapo juu wewe msaidie kibinadamu kadri ya uwezo wako lakini huko kwingine achana nako. Ndoa ya kwanza haswa kama wewe ni kijana mwenzangu inatakiwa iwe unaanza na clean slate. Mambo ya kuingia kwenye life-long commitments na mtu wenye baggage usifanye. Wewe kama ulikuwa makini hukujiokotea baggage kwanini ubebeshwe baggage za mtu mwingine tafuta mwenzio mwenye clean slate ndo muanze maisha. BTW you sound young Bro what's the rush!?
 
Kaka kama kweli umemaliza chuo kikuu why unaandika hivi? si uwe unapangilia vizuri basi. Msaidie huyo dada kama alivyosema Jestina.

Wengine sisi habar za uandishi tulishasahau tangu o levo. Tumesoma mahesabu na kuandika andika wapi na wapi. Tunafanya tu kwa mazoea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom