Msaada: Mchumba wangu ana upele mwilini

Msaada: Mchumba wangu ana upele mwilini

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
592
Reaction score
1,698
Naomba msaada ndugu maana nipo kwenye hali ya masononeko sana nashindwa kuelewa hiki ni nini.

Ipo hivi, nipo kwenye mahusiano na binti fulani mweupe sana na ni mrembo kweli kweli ila jambo linalo nishangaza ni kuwa ana UPELE mdogo mdogo karibu sehemu kubwa za mwili wake na usoni ndio zimejaa kama chunusi fulani hivi ila zimekomaa, sasa ninashindwa kuelewa ni ugonjwa gani

Ila taa nyekundu kuna muda inaniwakia,ninahisi uwenda ana HIV positive….naombeni Msaada kwa hili ndugu zangu.
 
Kuna ishu kadhaa hapo umri wake, ulaji wake hasa matunda na maji, pia shahawa zako kupatana na nafsi yake kama shibe ya rutuba ya mwili, akiwa na tabia ya kupasua vipele, ulimbukeni wa mafuta na sabuni, kuiga matumizi ya hivyo vitu.

Tafuta majani ya mpapai aogoe, nunua elyclob triple action de creme, au sk DERM cream achanganyw na vastiline herbal wakati wa kupaka akisha oga.

Kwa sasa pokea hayo machache
 
hiyo sura ndio mrembo kweli kweli? acha masiala mkuu
Urembo sio Uniform like in Velocity ni Relative like in Time. Huyo unamuona sio mrembo, hao unaowaona ni warembo kwangu inawezekana nawaona wabaya pia.

So usiwe mwepesi kuprovoke watu kwa ujuaji wako...mtoa mada anahitaji msada hakuja kumlinganisha mpenzi wako na wapenzi wako wewe. Be down to earth life is so easy and better in that way
 
Wewe hata ukija kuoa utakuwa mume wa hovyo sana. Utakuwa unatoa siri za mkeo kwa raia. Kama unahisi ana tatizo si umpeleke kwa wataalamu wa afya badala ya kuja kuanika matatizo yake hapa? Pumbavu sana wewe Kinjekitile.

Mkuu Siri gani tena kwani kueleza shida zinazo mkuta mtu wangu ni Makosa??
 
Wewe hata ukija kuoa utakuwa mume wa hovyo sana. Utakuwa unatoa siri za mkeo kwa raia. Kama unahisi ana tatizo si umpeleke kwa wataalamu wa afya badala ya kuja kuanika matatizo yake hapa? Pumbavu sana wewe Kinjekitile.

Sawa mkuu nimekuelewa lakini siku nyingine ujifunze kujadili hoja na sio kumjadili mtu
 
Back
Top Bottom