Tatizo hii nyumba imeunganika,
Ukipaua tofauti, siku ukipata Ela utapata gharama ya kuifumua na kupaua Tena.
USHAUR Wangu:
It's better ukainua kuta zote za kona ya nyumba,
Afu lingefunikwa lote Kisha finishing ndo ufanye kwa chumba kimoja kimoja kadri mfuko unavoruhusu.