Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa

Joined
Feb 12, 2020
Posts
21
Reaction score
25
Naomba kufahamu mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa kwa Kusajili Laini yangu Mwenyewe.

1. Gharama za Usajili
2. Vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ili kusajili
3. Ufafanuzi kidogo juu ya malipo ya kamisheni yakuwaje (mfano ni asilimia ngapi ya muamala nk)

Natanguliza Shukrani.

NB: Sihitaji kununua laini ya Tigopesa iliyosajiliwa nataka Kusajili kwa Majina Yangu.
 
Mi nataka kujua Faida na cammission ya Hiyo biashara ikoje au faida inapatikanaje?

Mfano mtu akitoa au kuweka elfu 50 mimi kama wakala faida yangu ni ngapi
 
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa elfu 50 unapata 285 kama Kimishen yako... Hii biashara kikubwa mzunguko..
 
Asante mkuu una fom yoyote inayoonesha Commission ya kila muamala kama ilivyo kwenye fomu yao ya makato ya kutoa na kuweka
 
Asante mkuu una fom yoyote inayoonesha Commission ya kila muamala kama ilivyo kwenye fomu yao ya makato ya kutoa na kuweka

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Siku hiz ukifanya muamala.. sms inayo Rudi kukuonyesha muamala umekamilika una kuwa umewekewa na kamishen ya huo muamala
 
Back
Top Bottom