Msaada Maumivu ya shingo

Dec 2, 2012
66
21
Ndugu wenzangu kwanz habar zenu.

Mm jaman naomb msaada wa tiba ya maradh nilonayo.

Kwani shingo inanipa tabu sana.

Hasa pale nnapo amka asubuhi nikigeuza shingo inakua kama ina data ndani.

Then pia nimefanya kama kibonye hivi nyuma ya shingo kwa nje.

Tatzo ni nini wadau.

Au tiba yake ni ipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom