Msaada: Maumivu makali ya misuli

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Wadau nasumbuliwa na maumivu makali mno ya miguu yote wa kulia na kushoto sehemu ya chini ya magoti kushuka chini.

hali hii inatokea wakati nafanya mazoezi ya kukimbia miguu inauma kupita maelezo,na huwa inachukua muda sana kupoa.na wakati mwingine hata nikisimama,nikitembea au nikibeba vitu vizito (eg ndoo ya maji) pia napata shida mpk nachechemea.nimetumia gel za diclopa &diclofenaki but inapoza tu maumivu kwa muda dawa ikiisha maumivu yanarud palepale.

nimeenda kwa daktari anadai nina tatizo la (peripheral neuropath) kanicheki mgongo uko safi,kanishauri nipunguze mazoezi na kaniandikia dawa hizi neurobion,ibuprofen,dioamplox,nimetumia wiki sasa but naona hakuna dalili ya kupata nafuu na dozi ni 30days.

20160103_104208.jpg
20160103_103927.jpg


msaada wenu wakuu.kwenye hizo picha utaona kuna sehemu zimeweka wekundu kwa mbaalii,hapo ndo maumivu yanapo anzia na kusambaa sehemu nyingine.
 
Last edited:
hata mm nimechoma hiyo ya neurobion tatizo langu lilikuwa ni kuchoka tu nasikia nafuu kiasi na miguu fresh
 
Back
Top Bottom