Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,119
Jamani nisaidieni, nyumbani kuna socket hii yenye swich mbili. Hapa nyumbani nina Jiko la umeme, je swich ipi hapa niiweke on. Pia nina microwave ambayo nikiwasha switch hiyo iliyokaribu na socket linafanya kazi vizuri tu, Je, nipo sahihi kwa matumizi ya microwave?
Wakati natumia cooker nachomeka kwenye socket hiyo hiyo na je lazima swichi zote mbili ziwe on au moja inakuwa off.
Wakati natumia cooker nachomeka kwenye socket hiyo hiyo na je lazima swichi zote mbili ziwe on au moja inakuwa off.