Kuna jamaa yangu alikuja kuomba msaada kwangu kuwa ana Simu aina ya tecno y6, katika Simu yake kila akiizima, akija kuiwasha kuna Meseji za 3 za zamani HUWA zinaibuka kana kwamba ametumiwa muda huu.
Naomba msaada ili nami nimwelekeze maana yeye hayumo JF.
Nawasilisha!!!