Kwa wale wanaopanha kazi kubwa wenye column nyingi na labda nataka kusort let's say column A ascending, then columnB descending then column H ascending n.k sizungumzii unasort only one column,
Mfano A miaka ya kuzaliwa,B tarehe ya ajira, C tarehe ya kuthibitishwa kazi, C check namba, F mshahara., sasa hapo unataka kupanga seniority list inayojumuisha taarifa zote.
Ukitumia sort then ascending au descending Huwezi kupanga zote at a time, ila ukibadili lugha ya pc yako kuwa Armenia inawezekana, sometimes inachosha kubadilibadili lugha ndo nkawa nataka msaada