Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,315 Reaction score 1,905 Sep 21, 2021 #1 Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,131 Sep 21, 2021 #2 Piga operation tu. Malizana nalo milele. Mimi hiyo kitu nilishatoa Hizo tiba mbadala utapigwa tu
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,315 Reaction score 1,905 Sep 21, 2021 Thread starter #3 Philipo D. Ruzige said: Piga operation tu. Malizana nalo milele. Mimi hiyo kitu nilishatoa Hizo tiba mbadala utapigwa tu Click to expand... Shukrani mkuu
Philipo D. Ruzige said: Piga operation tu. Malizana nalo milele. Mimi hiyo kitu nilishatoa Hizo tiba mbadala utapigwa tu Click to expand... Shukrani mkuu
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,069 Reaction score 34,836 Sep 22, 2021 #4 Majan said: Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo Click to expand... Mkuu pole sana kwa maradhi yako ya kidole tumbo aka Apendex nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.Uguwa pole.
Majan said: Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo Click to expand... Mkuu pole sana kwa maradhi yako ya kidole tumbo aka Apendex nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.Uguwa pole.
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,830 Sep 22, 2021 #5 Majan said: Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo Click to expand... Mmmh appendix ionekane kwenye ultrasound? Nenda hospitali nyingine kapime kupata uthibitisho Mkuu
Majan said: Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo Click to expand... Mmmh appendix ionekane kwenye ultrasound? Nenda hospitali nyingine kapime kupata uthibitisho Mkuu
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,830 Sep 22, 2021 #6 Mleta mada nendabhospitali kubwa kafanyiwe upasuaji.HAKUNA MITISHAMBA KWA APPENDIX
Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 998 Reaction score 904 Sep 25, 2021 #7 operation mkuu na gharma ni kati 15k to 30k kwa hospitali za serikal