profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,437
Kama una Anal Fissurenikienda haja kubwa napata maumivu makali sana,na damu zinadondoka matone mfululizo,kuna uvimbe sehemu ya haja kubwa,naomba ushauri nitumie dawa gani,ni wiki moja tangu tatizo lianze...msaada tafadhali
Hakikisha katika milo yako motatu kwa siku mlo mmoja uwe wa matunda 100%nikienda haja kubwa napata maumivu makali sana,na damu zinadondoka matone mfululizo,kuna uvimbe sehemu ya haja kubwa,naomba ushauri nitumie dawa gani,ni wiki moja tangu tatizo lianze...msaada tafadhali
asante sana mtaalam,Mungu akubariki..Kama una Anal Fissure
Tumia
Lactulose syrup 10mls mara mbili kwa siku ili kusoften stool
Topical Nitroglycerin 0.4% apply mara mbili
Sitz baths(Dettol 20mls kwenye maji ya uvuguvugu kila baada ya kutoka toilet).
Unaweza kutafuta Lidocaine ointment Kwa ajili ya maumivu
hiyo VUMILIA umeandika kwa herufi kubwa kwa msisitizo,huenda unajua maumivu yalivyo hatari mkuu,ni makali sana...Pole hio Ni bawasiri...inaishaga yenyewe ila vumilia Sana chonde usifanye upasuaji..VUMILIA
Huyu atakuwa anakula vitu vigumu....Jitahidi kula matunda hasa papai ili upate choo soft usisahau kunywa maji mengi
Yes ndo shida anapoipata hasa kama Hali matunda hyo Hali itamtesa na atafanyiwa operation akichezaHuyu atakuwa anakula vitu vigumu....
sio mlaji mzuri
Mkuu mie hii Hali ilianza nitokea 2010 mpaka saivi ninayo.do! hii kitu acha kabisa!
wengine ni kama tulishazoea hivi na tiba yangu kubwa ni papai na maji mengi pia punguza vyakula vya wanga na ukiweza punguza uzito na kazi za kukaa muda mrefu mambo yatakuwa shwari uvimbe unaweza kuwepo lakini hautakusumbua na ukifanya vizuri zaidi unaweza kuondoka. mfano hapa asubuhi nishapiga papai kabla ya chai na kwa muda huu nina maji mbele yangu.
Pokea ushauri na uwe serious kuufanyia kazi utaponaMkuu mie hii Hali ilianza nitokea 2010 mpaka saivi ninayo.
Nilikuwa nakaa Sana nasoma afu ulaji ni wali Sana.
Sema kweli ukilainisha choo inatoka kawaida.
Sema uvimbe huwa unatoka nje unapojikaza wakati wa haja.
Ukiwa unasafisha una feel sema unarudi.
Yaani kama mazoezi nilipitia jakata piga Sana tizi Ila hakuna kupungua..
Ndugu mie nakukatalia labda sema ninapokosea ni kuwa sijawahi hata mlo mmoja nikala mlo wa matunda pekee lazima nachanganya.Pokea ushauri na uwe serious kuufanyia kazi utapona
Kwa maisha ya kawaida ya watu wengi huwa na milo mitatu kwa siku katika hiyo milo mitatu hakikisha mlo mmoja unakuwa wa matunda pekee
Utachagua mwenyewe kama ni wa asubuhi, mchana au jioni na matunda hayo yawe mchanganyiko mfano Papai, chungwa, tikiti, ...embe, tango parachichi,carrot Nk
Hakikisha unakuwa Rafiki mzuri wa Maji
Yaani hakikisha angalau isipite siku hujanywa walau lita Mbili au zaidi za maji
Japokuwa utaenda haja ndogo mara kwa mara lakini ni Afadhali usumbuke kwenda haja ndogo kuliko upasuliwe na kuchomekwa mipira na plastics
Punguza vyakula vya wanga kama wali mfululizo....punguza sana au acha kabisa kunywa uji wa lishe au wa ulezi kwa maana una tabia ya kukausha choo sana ....
Ili kuthibitisha hili kama umewahi kuona kinyesi cha watoto wadogo wanaokunywa uji wa lishe mfululizo...
Kula vyakula vya mboga kama bamia ...nyanya chungu (ngogwe)...Biringany kwa wingi...kwa maana vina nyuzi nyuzi zinazosaidia kusafisha utumbo mpana na kulainisha choo...
Kama ni mlaji wa Machungwa basi unapokula chungwa usiishie kunyonya maji tu ka kutupa yale manyuzi nyuzi hapo utakuwa unapoteza kitu kikubwa sana..kula na nyama na nyuzi zote za ndani zina faida sana sana
Tatizo lako kwa 90% limechangiwa na ulaji Mbovu usio na mpangilio, pamoja na
Kutokunywa maji kwa wingi...
Zingatia niliyoandika hapa utaona mabadiliko...na utapona.
Ukipuuza shauri yako.
hapana mkuu,na kila jioni mda chakula lazima ninywe na mtindi nusu lita,na asubuhi huwa na kunywa maziwa freshi,lakini bado nimepata hilo tatizo...Huyu atakuwa anakula vitu vigumu....
sio mlaji mzuri
hospital hakuna msaada?do! hii kitu acha kabisa!
wengine ni kama tulishazoea hivi na tiba yangu kubwa ni papai na maji mengi pia punguza vyakula vya wanga na ukiweza punguza uzito na kazi za kukaa muda mrefu mambo yatakuwa shwari uvimbe unaweza kuwepo lakini hautakusumbua na ukifanya vizuri zaidi unaweza kuondoka. mfano hapa asubuhi nishapiga papai kabla ya chai na kwa muda huu nina maji mbele yangu.
tatito mimi kuna kama uvimbe namikwaruzo,ninapoenda haja kubwa ni maumivu makali sana,hata nikikaa tu bi maumivu mkuu,hosp vipi,hawatibu?Mkuu mie hii Hali ilianza nitokea 2010 mpaka saivi ninayo.
Nilikuwa nakaa Sana nasoma afu ulaji ni wali Sana.
Sema kweli ukilainisha choo inatoka kawaida.
Sema uvimbe huwa unatoka nje unapojikaza wakati wa haja.
Ukiwa unasafisha una feel sema unarudi.
Yaani kama mazoezi nilipitia jakata piga Sana tizi Ila hakuna kupungua..
sasa karoti tena,si ni ngumu mkuuPokea ushauri na uwe serious kuufanyia kazi utapona
Kwa maisha ya kawaida ya watu wengi huwa na milo mitatu kwa siku katika hiyo milo mitatu hakikisha mlo mmoja unakuwa wa matunda pekee
Utachagua mwenyewe kama ni wa asubuhi, mchana au jioni na matunda hayo yawe mchanganyiko mfano Papai, chungwa, tikiti, .