Soma topic hizi;Habari!
Naomba kama kuna mdau yeyote aliyewahi kufanya interview za kuandika kada ya Mchumi daraja la II anipe mwanga kinachoulizwa hasa maana Mambo ya uchumi ni mengi.
Kama kuna maswali ni vizuri zaidi.
Ubarikiwe Sana ndugu,,asanteSoma topic hizi;
Subject Matter, Demand and Supply, Market, Firm and Production and Money. For Microeconomics.
National Income, Public Finance, International Trade and Economic Growth and Development. For Macroeconomics.
Unataka mserereko, chuo ulienda kufanya nini? Kweli kilaza ni kilaza tuHabari!
Naomba kama kuna mdau yeyote aliyewahi kufanya interview za kuandika kada ya Mchumi daraja la II anipe mwanga kinachoulizwa hasa maana Mambo ya uchumi ni mengi.
Kama kuna maswali ni vizuri zaidi.
Economics ya secondary advanced levelSoma topic hizi;
Subject Matter, Demand and Supply, Market, Firm and Production and Money. For Microeconomics.
National Income, Public Finance, International Trade and Economic Growth and Development. For Macroeconomics.
Wewe unamuita mwenzio kilaza,what if nae akikuita wewe malaya?Unataka mserereko, chuo ulienda kufanya nini? Kweli kilaza ni kilaza tu
Poa tu. Anaweza kuongeza na jina lingine ambalo ataona linanifaaWewe unamuita mwenzio kilaza,what if nae akikuita wewe malaya?
Kwanini huwa mnachagua violence? Kuna faida gani unapotumia misamiati hasi namna hiyo?Unataka mserereko, chuo ulienda kufanya nini? Kweli kilaza ni kilaza tu
Kuna faida gani kwenda chuo kama hujiamini na chuo hakikukuwezesha kukujengea uwezo wa kujibu maswali na kukabiliana na changamoto?Kwanini huwa mnachagua violence? Kuna faida gani unapotumia misamiati hasi namna hiyo?