msaada maswali ya interview ya field officer ya accessbank!

Kazakuku

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
354
110
Habari wan JF,kunajamangu kaitwa interview ya accessbank post ya field office,je ni maswali gani yatakayoweza kuwepo katika interview hiyo please mwaga dondoo japo nimueleze ili awe na ideal,thanx nawasilisha!
 
Hawa jamaa wanatumia vigezo gani kuita watu kwenye usahili? Ivi bado wanaita au ndo wameishamaliza kuita kwa usahili wa tarehe 2 mwanza?
 
Mimi wamenitumia sms kuwa nihudhurie usail tarehe 2 mwanza na usail utakuwa siku 5.kazi kweli.
 
duuuuuuuuuuuu mi nilifanya interview yao ya mwanza,sina hamu watu kibaooooooooooooo kibaya zaidi walisema wengne tumewkwa reserve march 2013 tutaenda kahama kwenye branch yao,cha ajabu kimya mpka leo na kazi ndo kama hivyo wametangaza upya
 
questions are; 1.Tell us about yourself 2.What are your weakness and what have you done to overcome 3.Why do you want this job 4.What are your carrier goals 5.What is your salary expectation 6.why did you leave your last job Those are some,but some questions may arise depending on your answers Wish you lucky
 
duuuuuuuuuuuu mi nilifanya interview yao ya mwanza,sina hamu watu kibaooooooooooooo kibaya zaidi walisema wengne tumewkwa reserve march 2013 tutaenda kahama kwenye branch yao,cha ajabu kimya mpka leo na kazi ndo kama hivyo wametangaza upya
<br />
<br />
Duh!
 
Sasa vijana, wengine wageni kidogo humu, me kuna jamaangu kaniuliza hiyo field officer nini majukumu yake ni yapi, nimeshindwa msaidia, nimeleta mezani, hebu nisaidieni wadau.
 
guyz ni hv interview ya kwanza ni mtihan wa hesabu ambao unuliza maswal ya logic tu sio magumu,thn group interview na nyngne ni kuingia mtaan kutambulisha benk thn oral msiogope mshrikishen Mungu tu coz watu ni weng sana,n mjitahd kusoma job description zenu...best of lucky kwa wote mliochaguliwa
 
Hiv hao wanaouliza maswali nao hawapo humu JF kweli?na kama ndio basi uwezekano wakubalisha maswali ni mkubwa or just to get an idea!
 
interview ya kwanza ni hesabu za form two na nyingine za kawaida za logic. Interview ya pili inakuwaga ya group ambapo mnafanya kwa style ya debate(the more active u are, the higher chance of being selected for third interview). Ya 3 ni DP assesment ambayo Wanaingia mtaani kwenye maduka kuangalia uwezo wako wa kushawishi au kuzungumza na wateja. Na ya mwisho ni individual interview.
 
Habari wan JF,kunajamangu kaitwa interview ya accessbank post ya field office,je ni maswali gani yatakayoweza kuwepo katika interview hiyo please mwaga dondoo japo nimueleze ili awe na ideal,thanx nawasilisha!

nyie ndiyo mnafeli interview, kwa hiyo unataka ukariri majibu? Alafu unazuga eti jamaa yako, kuwa muwazi!!!
 
Back
Top Bottom