Msaada-masters by thesis or coursework and dissertation

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
149
Reaction score
45
Habari zenu wadau ndani ya jf, kama title inavyojieleza naomba msaada wa ufafanuzi juu ya tofauti ya njia/namna nilizoziandika hapo juu kuhusu usomaji wa shahada ya pili. Natanguliza shukrani zangu kwa wote watakaochangia, asanteni
 
Masters by coursework and dissertation means unasoma da rasani na kufanya mitihani then unamalizia kwa research while masters by thesis ni research only

asante mkuu nimekuelewa
 
Masters by coursework and dissertation means unasoma da rasani na kufanya mitihani then unamalizia kwa research while masters by thesis ni research only

Not entirely true mkuu, kwanza kabisa hiyo title sivyo, dissertation ni final written work ya Phd, thesis ndio kwa masters. First zote lazima afanye coursework tofauti inakuja kwenye masters bila thesis, mwisho unafanya tu a short project(mara nyingi labda project in lab au term paper) but masters na thesis ndio research full time na Phd kama ajuavyo ni full research kuanzia mwaka wa kwanza lakini bado utafanya course mpaka ufikishe credit zinazohitajika!
 
Habari zenu wadau ndani ya jf, kama title inavyojieleza naomba msaada wa ufafanuzi juu ya tofauti ya njia/namna nilizoziandika hapo juu kuhusu usomaji wa shahada ya pili. Natanguliza shukrani zangu kwa wote watakaochangia, asanteni

1. Masters by coursework option: hii utafanya course kwa kuingia darasani na kufanya mitihani mwisho wa semester. Option hii ni kwamba unafanya credit units nyingi mpaka kumaliza kuliko option ya project au thesis.

2. Masters with project option: unafanya project tu kama wanazofanya mwaka wa mwisho undergraduate na kufanya credit units chini kidogo ya anayefanya coursework only option.

3. Masters with thesis option. Utafanya credit units ndogo kuliko mtu anayefanya with project option.

4. Dessertation ni kwa mtu wa PhD tu

Note: course zinakuwa na level mfano kwenye 600, 700 na 800. Kila option inakuwa na idadi ya course katika kila level.
 
ASNATE MKUU ILA ...

Hivi ukifanya masters by coursework haufanyi Research hata kidogo ama vipi? namaanisha ni kua unakaa class tu na mwisho unapiga final exam baass umemaliza ama vp??
 
Back
Top Bottom