natumaini ni wazima wa afya njema, naombeni kujua kwa kenye ni sehem gani naweza pata nguo za mtumba na viatu iliniweze kuzileta Tanzania kwa ajili ya biashara. ndugu zetu wakenya, msaada wenu ni muhim sana. natanguliza shukran
Soko ni la kila siku, ila wafanyabiashara wengi hufungua bidhaa mpya Jumanne na jumamosi (Ambazo zilikuwa siku maalumu za soko zamani). Kama ni wa kufuata viatu na nguo, hakikisha umefika pale asubuhi mapema (Saa kumi na mbili hivi) ndio utapata bidhaa bora. All the best.

Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu, kwa ushauri zaidi aende Nairobi kama yupo mikoa Jirani mfano Mwanza, Mara, Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Vinginevyo afikirie kuhusu gharama za usafiri kwanza.