Msaada: Mashine za kutengeneza pvc id card

Msaada: Mashine za kutengeneza pvc id card

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Habari za jioni wandugu,

Nina shida ya kununua mashine inayoweza kuprint id card zile ngumu za plastic kama ATM card, wapi naweza kupata na kwa bei gani?

Na ningependa kupata kubwa inayoweza kutoa kadi nyingi kwa muda mfupi (speed)

Natanguliza shukrani
 
Mkuu jaribu kuwaona jamaa wa Business Machines Tanzania Ltd (BMTL)/ The Copy Cat Ltd wana ofisi/matawi miji yote mikubwa hapa Tanzania. Ni wazuri sana kwenye kuuza OA products.
 
Maana kuna printing ya surface na printing ambayo ipo kwa ndani, baada ya ku mirror image. What is your target?
 
Habari za jioni wandugu,

Nina shida ya kununua mashine inayoweza kuprint id card zile ngumu za plastic kama ATM card, wapi naweza kupata na kwa bei gani? Na ningependa kupata kubwa inayoweza kutoa kadi nyingi kwa muda mfupi (speed)

Natanguliza shukrani
Tafute printer inayoitwa epson L800 ndo inafanya hyo kazi
 
Je ukiwa na kazi kubwa, mfano wanafunzi wa chuo wanakuja hapo hapo unawapiga picha unaiprint na anaondoka na kitambulisho chake hapo kwa hapo inaweza??
 
Kwa kutumia pvc paper unaweza kuwatolea kumi kwa mara moja, i. e by using Epson L800
 
naweza kuzipata wapi hizo epson l800 na shiling ngapi??
 
Cheki kwa hao jamaa waitwao galaxy computers, I think ni around laki nane
 
Back
Top Bottom