Wadau kwa anaefahamu hizi mashine za kutengeneza barafu (ice block) naweza kuzipata wapi na kwa bei gani? Zine na uwezo wa kutoa block ya kilo 10...msaada plzz