Msaada mashine ya mazoezi

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
932
1,000
habarini wakuu, naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuseti hii mashine kujua kama nimetembea umbali gani na mengineyo, nimeletewa bila kitabu, hivyo sijailewa wakuu.
 

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,125
2,000
Nenda kwenye gym yoyote mchukue ticha akakusetie ila umtoe..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom