Msaada: mashine ya kukamua asali

Zack

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
18
Reaction score
3
Mimi ni mfugaji nyuki,nimekuwa nikitumia njia ya kawaida ya kukamua masega ya nyuki ili kupata asali.
Nahitaji mashine ili niweze kuwa bora zaidi kwenye utengenezaji wa asali basi kwa yule anayefahamu zinapoatika na bei zake naomba anisaidie information.

Natanguliza shukrani.
 

Hitaji zuri na sahihi. Je? upo wapi? Ila jaribu kufika ofisi za SIDO mkoa uliopo au hata ofisi za TCCIA unaweza kupata sehemu ya kuanzia. SIDO hutakosa jibu kwani wamekuwa msaada mzuri kwa wajasiriamali wengi.
 
Niko mkoa wa morogoro,mjini
 
Nimejaribu fika sido lakini hawana mashine hizo.
Nilienda kuwa consult kwenye maonyesho ya sabasaba.
 
Hiv ni kweli utengenezaj wa asal unalipa
 
Unalipa vizuri tuu kama ukiwa na asali nzuri na wateja wakaikubali.
 

mkuu ni PM
 

Attachments

  • extractor-9frame.jpg
    14.9 KB · Views: 367
  • frame extracter.jpg
    7.1 KB · Views: 552
  • Honey-Extractor.jpg
    59.8 KB · Views: 368
wasiliana na Sido wanazo,kama watakuwa wamemaliza tuwasiliane nikuagizie toka china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…