Msaada mashine ya kufyatulia tofali

Ndeke afwege

Senior Member
May 20, 2014
154
0
Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei
 

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
556
225
Mashine ya umeme (vibrating) au ya mkono?Ya umeme zipo bei mil 2 na guarantee ya mwaka mmoja....Unapata mashine na ushauri....0764 468 469.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom