Moja ya mashairi yake yanasema:
Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui muimbaji wala jina la wimbo niliusikia kitambo kidogo nikaupenda msaada mwenye nao au anayefahamu jina la msanii na wimbo.
Nawasilisha.
Wimbo unaitwa Kolza umeimbwa Na General defao matumona,Yuko nairobi kwa sasa akiendeleza pilika Za maisha ingawa hana tena umaarufu Kama miaka ile ya nyuma ulipomfahamu kupitia nyimbo zake.
Moja ya mashairi yake yanasema:
Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui muimbaji wala jina la wimbo niliusikia kitambo kidogo nikaupenda msaada mwenye nao au anayefahamu jina la msanii na wimbo.
Nawasilisha.
Jamani msaada mwenye hii nyimbo atusaidie maana nimeitafuta mpaka basi. Kama kuna link yoyote mtusaidie wadau, mambo ya memories haya.
Sina la kusema but many thanks ndugu..
Mkuu hakuna namna nayoweza kuipakua hii miziki
Mkuu hakuna namna nayoweza kuipakua hii miziki
Huu wa koza mkuuIko u just sema mziki ganj jnataka ntakuwekea hapa
Hii link imekuwa broken mkuu.. vipi kuna nyingine?...nimeutafuta sana huu wimbo ila bila bila.. msaada tafadhali