Kwa anayekifahamu hiki chuo,kipo umbali gani toka mjini,mazingira yake kwa ujumla,mdogo wangu kachaguliwa huko
Mi nakifahamu cha Ndanda

chuo kipo mjini Masasi ni kama km moja tokea stendi kuu ya Masasi ni chuo cha serikali ni kizuri sana
Mi nakifahamu cha Ndanda
vyote ni miaka mitatu
Bonge ya chuo kipo hospitali ya mkomaindo ndani ya Masasi city.kama MDOGO ni wa kike Nipe contact zake and I'll b checking on her sababu mi napack Bajaj langu nje ya gate ya hospitali

shayoamede@gmail.comsamahani naomba mnielekeze kufanya application 0742834132