mark x engine yake ni kubwa kuliko verossa kwasababu ni engine aina ya 4gr V6 yenye cc2500 na wakat verossa nafikiri ina cc1990
Kutokana na ukubwa wa engine ya mark x then obviously fuel consumption yake ni kubwa zaid
Durability kwenye off roads atleast verossa since ipo juu kidogo tofaut na mark x ambayo imeshuka chin sana lakin zote sio gar za kutembelea barabara za offroad humo waachie VW Touareg, Land Rover and Land Cruiser
Suala la ipi ni nzuri ni subjective wewe mwenyewe angalia unataka ipi ila kwa kodi ukiagiza mark x ipo juu kidogo.
Baada ya mark2/verossa kuwa discontinued ndio Mark X zikaanza kutengenezwa mpaka leo. Kwahio ukinunua verossa ukiacha mark x unarudi nyuma.kwa wenye uelewa kuhusu hizi gari 2, yaani Mark x na Verossa naomba msaada kuhusu
1.ukubwa wa engene
2.fuel consumption
3.durability ( kwa matumiz kwenye barabara ya lami na vumbi)
4.Bei zake
5. ipi ni nzuri zaidi
Natanguliza shukurani.
Jombaa fafanua, huo utamu wa mark x unauzidi utamu wa Asali?hamna mark x 1st generation inaweza fata verosa vr25 sema hz gar za zaman zmepitwa na wakat sa hv mark x ina muundo mtamu
vip kuhusu IST kwa matumiz kwenye barabara za vumbi na fuel consumpition.......bila kusahau bei yakeMkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
mkuu hapo ndio wengi mnakosea kulaumu na kushauri vibaya .hilo gari la huyo rafiki yako ni bovu mzee bali sio kweli kwamba markx inakula mafuta kihivyoo.huwezi isifia verrosa kwa mark x juu ya ulaji wa mafuta engine ya mark x inakula mafuta vizuri zaidi ya engine ya verosa. mark x engine yake ni d4 .ukijua sifa na faida za engine ya d4 hapo usifananishe na engine ya verosa ambayo siyo d4Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
D4 ndio injini ya mpya kwasasa na ndio injini inayowasumbua mafundi wengi hapa Tanzania kwasababu wamebaki na maarifa yale yale ya zamani waliyofundishwa ya VVTIHawajui kuwa D4 ni generation mpya