Msaada marafiki zangu nitakufa mimi jamani

Kuna saa tunaweza kudhihaki kumbe mtu una shida kweli. Hope utafanikiwa kupata huo mkopo
 
Pakua appl ya branch wanakopesha mpaka ten kwa kuanzia
 
Una haki ya kuongea hivyo kama bado hajakukuta ila siku yakikupata ndo utajua kuna matapeli na wengine wenye shida kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…