Msaada:Maombi ya kujiunga na vyuo kupitia Nacte 2019

Msaada:Maombi ya kujiunga na vyuo kupitia Nacte 2019

tropa92

Senior Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
156
Reaction score
217
Wadau kama mada ilivo hapo juu,nikiingia nacte katika application online nakutana na category moja tu ya HEALTH AND ALLIED SCIENCE sasa vipi kwa zile kozi zingine tofauti na hio naweza apply vipi??
Nilihitaji ku apply Kilimo ila ndo haipo katika available categories

Wale wasiokuwa na sifa za ku apply afya wao wana apply vip koz zao maana kupitia nacte hakuna pa kutokea ,tusaidiane kwa wanaojua
 
Back
Top Bottom