msaada mambo ya ardhi

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
hamjambo ndugu wote mulio huku ndani msaada kidogo katika hili mimi nna kiwanja kilichopimwa sqm 400 sasa kulingana na hali ya uchumi nimeshindwa kuanza nyumba kubwa yan my dream house sasa nimewaza nijenge kujumba kidogo cha uwani ambacho kitakuwa na tuchumba tuwili na seble na kachoo na kajiko so nlikuwa nauliza wataalam wa ardhi kwa kijumba cha aina hiyo katika kiwanja hicho naweza kubakiwa na eneo la kujenga dream house ambayo ni 3 bedroom na facilities nyingine ka p.toilet.store na jiko naomba kuwasilisha
 
ndio utabakiwa na eneo ka kutosha mkuu
 
Inategemea hiyo 400 sqm imekaaje.....Fanya rough sketch tukushauri
 
Hapo itawezekana ila utakuwa umemaliza kbsa uwanja wako usipoangalia utakosa hata chochoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…